Faida za parachichi mwilini na jinsi ya kutumia
Parachichi ni tunda lenye hadhi na faida lukuki katika mwili wa binadamu. Moja ya faida za parachichi ni uwezo wake wa kusaidia kukuza na kutunza nywele kutokana na kiwango kikubwa cha virutubisho vya vitamin E ndani ya tunda hili.
Mbali na tunda lakin pia majani, mbegu, magome na mizizi ya mti huu hutumiwa na binadamu kama kama chakula au dawa.
Na alpha-pinene hii ni kemikali ya kipekee kabisa, uwezo wa kukabiliana na magonjwa wa kemikali hii hauna mipaka.
Inatibu magonjwa kama saratani, huangamiza bakteria, maradhi ya mfumo wa fahamu na malaria, hizi ni baadhi tu.
Kisha kunywa robo tatu ya glasi mara 2 hadi mara 3 kwa siku.
Vilevile unaweza tengeneza juisi ya magome au majani na kutumia kwa kunywa kwa magonjwa ya minyoo na mafua.
Matumizi ya mafuta ya parachichi yanapaswa kuwa chini ya ungalizi wa mtaalamu wa dawa.
Wasiliana na mtaalamu wa dawa kwa msaada zaidi.
Ikiwa mtoto hawezi kutafuna unaweza kuliponda katika namna ya uji.
Mbali na tunda lakin pia majani, mbegu, magome na mizizi ya mti huu hutumiwa na binadamu kama kama chakula au dawa.
Mmea wa parachichi.
Mmea huu huoteshwa kwa kutumia mbegu na baada ya kukua hutengeneza majani.
Majani huvunwa nyakati tofauti lakini tunda huvunwa pale linapokomaa.
Tafiti zinaonyesha mti huu wa parachichi ni moja kati ya tiba bora zaidi kwa ukuaji wa nywele na magonjwa ya mafua.
Vilevile parachichi hutibu maradhi ya kuharisha na lina uwezo wa kuangamiza virusi vinavyosababisha ugonjwa wa zona (mkanda wa jeshi).
Kwa watoto parachichi ni chanzo bora zaidi cha lishe kwa hasa watoto wadogo wa kati ya miaka 2 hadi 5.

Uwezo na faida za parachichi zinatokana na nini?
Ndani ya tunda hili la parachichi kuna kemikali za kipekee ambazo hupatikana kwa kiasi kikubwa katika mmea, kemikali hizo ni kama kama zifuatavyo;- Kemikali za Methylchavicol na alpha-pinene.
Na alpha-pinene hii ni kemikali ya kipekee kabisa, uwezo wa kukabiliana na magonjwa wa kemikali hii hauna mipaka.
Inatibu magonjwa kama saratani, huangamiza bakteria, maradhi ya mfumo wa fahamu na malaria, hizi ni baadhi tu.
- Kemikali za Flavonoids.
Hili ni kundi la kemikali ambalo hujumuisha kemikali za Flavonols, Flavones, Flavan-3-ols, Flavanol, Anthocyanidins na Isoflavones.
Kemikali hizi zimeonyesha uwezo mkubwa wa kutoa kinga dhidi ya magonjwa ya mzunguko wa damu na mfumo wa fahamu kama vile kusahau.
Pia kupambana na magonjwa ya virusi na bakteria. Kemikali hizi hupatikana kwa wingi zaidi katika majani na magome ya mparachichi.
Ni katika magome na majani ya mparachichi ndiko kemikali hii hupatikana.
Ni katika sehemu ya tunda la mparachichi ndiko tunapata kiwango kikubwa cha viini lishe.
Baadhi ya viini lishe hivyo ni pamoja na mafuta, protini, vitamini, Sesquiterpenes na wanga.
Mbali na kutumiwa kama sehemu ya lishe lakini pia Sesquiterpenes husaidia kuimarisha kinga ya mwili, ulinzi dhidi ya saratani na kupunguza uvimbe mwilini.
Zifuatazo ni baadhi ya faida za kutumia parachichi kama tiba;
Hii ni kutokana na uwepo wa kemikali za Methylchavicol na alpha-pinene ambazo zimeonyesha ufanisi katika kutunza ngozi..
Vilevile husaidia kutibu na tatizo la kuharisha. Uwepo wa alpha-pinene, flavonoids na tannins unafanikisha yote haya.
Ili nywele zikue zinahitaji vitamin kwa wingi hasa vitamini E ambayo hupatikana kwa wingi zaidi katika parachichi.
Kemikali hizi zimeonyesha uwezo mkubwa wa kutoa kinga dhidi ya magonjwa ya mzunguko wa damu na mfumo wa fahamu kama vile kusahau.
Pia kupambana na magonjwa ya virusi na bakteria. Kemikali hizi hupatikana kwa wingi zaidi katika majani na magome ya mparachichi.
- Kemikali za Tannins.
Ni katika magome na majani ya mparachichi ndiko kemikali hii hupatikana.
- Kemikali lishe.
Ni katika sehemu ya tunda la mparachichi ndiko tunapata kiwango kikubwa cha viini lishe.
Baadhi ya viini lishe hivyo ni pamoja na mafuta, protini, vitamini, Sesquiterpenes na wanga.
Mbali na kutumiwa kama sehemu ya lishe lakini pia Sesquiterpenes husaidia kuimarisha kinga ya mwili, ulinzi dhidi ya saratani na kupunguza uvimbe mwilini.
Faida za parachichi mwilini.
Tayari una dondoo muhimu za kuweza kutambua ni kwa namna gani parachichi linaweza kutumika kama mmea tiba.Zifuatazo ni baadhi ya faida za kutumia parachichi kama tiba;
#1: Kusaidia kuimarisha Ngozi.
Majani na magome ya mparachichi yanaweza kutumika kwa ulinzi na unadhifu wa ngozi yako kwa kupaka katika ngozi.Hii ni kutokana na uwepo wa kemikali za Methylchavicol na alpha-pinene ambazo zimeonyesha ufanisi katika kutunza ngozi..
#2: Kusaidia kupunguza gesi tumboni na kuharisha.
Juisi ya magome au majani ya mparachichi inaweza kukusaidia kuondoa gesi mwilini.Vilevile husaidia kutibu na tatizo la kuharisha. Uwepo wa alpha-pinene, flavonoids na tannins unafanikisha yote haya.
#3: Husaidia kuleta nafuu ya kikohozi na mafua.
Hii ni kutokana uwepo wa Methylchavicol na alpha-pinene, kemikali hizi zina uwezo wa kupambana na bakteria na virusi aina mbalimbali.#4: Husaidia kutibu matatizo ya mzunguko wa hedhi.
Kujikamilisha katika kiwango cha viini lishe kunafanya parachichi kuwa msaada mkubwa kwa wanawake wanaosumbuliwa na mpangilio hovyo wa hedhi hasa ule utokanao na sababu za kilishe.#5: Kuangamiza minyoo.
Baada ya kumenye parachichi, tabaka la kijani la parachichi kabla ya kulikuta tabaka la njano, hutumika kama tiba ya minyoo.#6: Husaidia dhidi ya maradhi ya virusi.
Magonjwa kama zona (mkanda wa jeshi) huweza kutibiwa na majani ya mparachichi kwa kupaka na kunywa pia.#7: Kuimarisha nywele.
Hii ni moja ya sifa kubwa ya mmea huu, uwepo wa viini lishe vya vitamini E katika tunda kunalipa parachichi nguvu na uwezo wa kipekee katika kuimarisha na kukuza nywele.Ili nywele zikue zinahitaji vitamin kwa wingi hasa vitamini E ambayo hupatikana kwa wingi zaidi katika parachichi.
Jinsi ya kutumia mmea wa parachichi kama tiba.
Sehemu karibu zote za mti wa parachichi hutumiwa kama tiba kuanzia- Majani.
- Magome.
- Tunda.
- Mbegu.Sehemu hizi huweza kuandaliwa katika namna ikiwamo.
- Juisi
- Unga.
- Mafuta kutoka katika mbegu.
- Mkorogo mzito.
Matumizi kwa ajili ya kuharisha.
Tengeneza juisi ya magome au majani (mabichi au yaliyokaushwa) kwa kuyaloeka katika maji au pombe kali kwa muda wa siku 2 hadi 3.Kisha kunywa robo tatu ya glasi mara 2 hadi mara 3 kwa siku.
Matumizi kwa ajili ya magonjwa ya virusi au bakteria.
Tengeneza mkorogo wa majani au magome na tumia kwa kupaka sehemu iliyoathirika.Vilevile unaweza tengeneza juisi ya magome au majani na kutumia kwa kunywa kwa magonjwa ya minyoo na mafua.
Matumizi ya kuimarisha Ngozi yako.
Tumia mafuta yaliyovunwa kutoka katika mbegu ya parachichi kwa kupaka katika Ngozi.Matumizi ya mafuta ya parachichi yanapaswa kuwa chini ya ungalizi wa mtaalamu wa dawa.
Wasiliana na mtaalamu wa dawa kwa msaada zaidi.
Matumizi ya kuimarisha na kukuza nywele.
Tengeneza mkorogo wa tunda la parachichi na tumia kwa kupaka kichwani, paka kuanzia katika shina la nywele kisha subiri kati ya dakika 20 hadi 30 kabla ya kuosha.Kwa matumizi ya chakula kwa Watoto.
Kwa Watoto tumia tunda la parachichi kama sehemu ya lishe ya kila siku.Ikiwa mtoto hawezi kutafuna unaweza kuliponda katika namna ya uji.
Hitimisho
Hizi ni baadhi ya faida za kutumia parachichi kama chakula ama tiba, faida hizi zimethibitishwa kisayansi.
Unaweza kutumia parachichi katika namna tofauti kama ilivyoanishwa. baadhi ya muundo wa parachichi kama vile mafuta au vidonge vinaweza kupatikana katika maduka ya dawa.