Afya ya Uzazi wanawake

Tiba ya kichefuchefu, kutapika na kiungulia kwa mjamzito

Kichefuchefu, kutapika , kupata haja kubwa ngumu na kiungulia wakati wa ujauzito ni matatizo ya kawaida ambayo hujitokeza kwa wanawake wengi...

Pharm Mshani 15 Okt, 2022

Vipimo muhimu kwa mama mjamzito

Unapopata mimba kuna mabadiliko mengi ya lazima ambayo hutokea katika mwili wako. Kuongezeka uzito, kuongezeka sukari ya mwili, mabadiliko k...

Pharm Mshani 12 Okt, 2022

Umuhimu wa kuanza mapema kliniki ya wajawazito

Baada ya mwanamke kupata ujauzito, kuna maswali mengi huwa yanaibuka kuliko majibu hasa ikiwa ni ujauzito wa kwanza. Mwanamke huwa na fura...

Pharm Mshani 10 Okt, 2022

Sababu za matatizo ya mzunguko wa hedhi.

Matatizo ya mzunguko wa hedhi ni ya kawaida kwa wanawake na husababishwa na mambo mbalimbali ambayo ni ya kawaida kabisa katika jamii. Sabab...

Pharm Mshani 9 Okt, 2022

Matatizo 6 ya kaida ya mzunguko wa hedhi na sababu zake

Mzunguko wa hedhi ni tukio la kibaolojia ambalo hutokea kwa mwanamke yeyeto aliyekamili kiafya. Kwa wastani mwanamke huanza kupata hedhi aki...

Pharm Mshani 8 Okt, 2022

Sababu za kichefuchefu na kutapika kwa mjamzito na tiba yake

Kichefuchefu na kutapika ni miongoni mwa hali za kawaida sana kwa mjamzito hasa miezi miezi 3 ya mwanzo ya ujauzito.  Hali hii inatokana na ...

Pharm Mshani 27 Sep, 2022

Dalili za mimba changa ya wiki moja hadi miezi mitatu

Dalili za mimba ni matokeo ya mabadiliko makubwa ya kiumbo na kibaolojia yanayotokea kwa mama mjamzito ambayo husababishwa na kutengenezwa k...

Pharm Mshani 16 Sep, 2022

Sababu kuu 9 za Kutokwa damu nyingi wakati wa hedhi na tiba yake

Kutokwa damu nyingi wakati wa hedhi ni moja ya tatizo la hedhi linalowasumbua wanawake wengi. Wanawake walio wengi huwa katika wakati mgumu ...

Pharm Mshani 7 Sep, 2022

Njia za kisasa za uzazi wa mpango na faida zake

Uzazi wa mpango ni hali ya kuzuia mimba kutunga kwa kuathiri mchakato wa kibaolojia unaopelekea mimba kutunga kwa kutumia njia za kisasa au ...

Pharm Mshani 1 Sep, 2022

Njia kuu 4 za asili za uzazi wa mpango na jinsi ya kuzitumia

Ili kujikinga na wimbi la mimba zisizotarajiwa ambalo huwaathiri wanawake katika nyanja mbalimbali, elimu juu ya uzazi wa mpango ni muhimu. ...

Pharm Mshani 31 Ago, 2022