Faida za mahindi katika kutibu macho na figo.
Bila shaka mahindi ni chakula kinachotumiwa zaidi barani Afrika kuliko chakula kingine chochote. Matumizi ya mahindi kama chakula kikuu Afri...
Bila shaka mahindi ni chakula kinachotumiwa zaidi barani Afrika kuliko chakula kingine chochote. Matumizi ya mahindi kama chakula kikuu Afri...
Kama vitamini A, B, C, D, E na K ni wanafunzi katika darasa, basi Vitamini E ndio mwanafunzi ambaye siku zote ataondoka na alama A+ katika m...
Vitamini D ni moja ya virutubisho muhimu zaidi mwilini kutokana na kazi yake ya kusaidia kutengenezwa kwa mifupa, kuimarisha mfumo wa fahamu...
Mwili wako unahitaji vitamini C katika kufanikisha kazi zaidi ya 300 mwilini mwako. Baadhi ya faida za Vitamini C mwilini ni kutengeneza col...
Parachichi ni tunda lenye hadhi na faida lukuki katika mwili wa binadamu. Moja ya faida za parachichi ni uwezo wake wa kusaidia kukuza na ku...
Vitamini B changamano ni kundi la virutubisho ambalo hujumuisha aina nane ya kundi la vitamini B mumunyifu. Aina hizo ni pamoja na; Thiamin...
Si rahisi kupata tatizo la upungufu wa vitamini B changamano kwa sababu Vitamini B changamano hupatikana katika vyakula vingi vya kawaida am...
Vitamini A ni miongoni mwa virutubisho muhimu zaidi ambavyo miili yetu huhitaji ili kukamilisha kazi mbalimbali za mwili. Uhitaji wa vitamin...
Vitamini A ni virutubisho muhimu katika ukuaji wa seli, kuimarisha kinga ya mwili, Kuimarisha afya ya macho na kusaidia mfumo wa uzazi. Upun...