Upungufu wa nguvu za kiume na jinsi ya kuchagua njia sahihi ya kutibu
Upungufu wa nguvu za kiume ni tatizo kubwa kwa sasa, zaidi ya 60% ya wanaume duniani husumbuliwa na tatizo hili.
Kutokana na tatizo hili wanaume wengi wanahangaika na kutafuta kila namna ya kupambana na tatizo hili bila mafanikio.
Kushindwa kupata mafanikio juu ya tatizo hili kunachangiwa kwa kiasi kikubwa na uhaba wa elimu juu ya tatizo hili.
Afya plus tumekuandalia Makala hii maalumu ambayo imegusa kila jambo muhimu kuhusu tatizo hili ili kukusaidia katika jitihada za kupambana nalo.
Mbali na kushindwa kusimamisha uume, tatizo hili pia huusisha uume kuwa legelege hata ukiwa umesimama na kutoa shahawa nyepesi au kidogo.
Kipimo kikubwa cha tatizo hili ni wakati wa kujamiana lakini mwanaume anaweza kuwa na tatizo hili hata hajaanza kukutana na wanawake.
Tatizo hili huweza kujitokeza katika hatua yoyote ya ukuaji wa mwanaume kwa vile sababu za tatizo hili hazichagui umri.
Kushindwa kupata mafanikio juu ya tatizo hili kunachangiwa kwa kiasi kikubwa na uhaba wa elimu juu ya tatizo hili.
Afya plus tumekuandalia Makala hii maalumu ambayo imegusa kila jambo muhimu kuhusu tatizo hili ili kukusaidia katika jitihada za kupambana nalo.
Upungufu wa nguvu za kiume ni nini?
Upungufu wa nguvu za kiume ni hali ya mwanaume kushindwa kusimamisha uume wake kabisa, au kushindwa kuendeleza kusimamisha uume wake wakati wa kujamiana hasa baada ya kufika kileleni.Mbali na kushindwa kusimamisha uume, tatizo hili pia huusisha uume kuwa legelege hata ukiwa umesimama na kutoa shahawa nyepesi au kidogo.
Kipimo kikubwa cha tatizo hili ni wakati wa kujamiana lakini mwanaume anaweza kuwa na tatizo hili hata hajaanza kukutana na wanawake.
Tatizo hili huweza kujitokeza katika hatua yoyote ya ukuaji wa mwanaume kwa vile sababu za tatizo hili hazichagui umri.
Sayansi ya nguvu za kiume na kusimama kwa uume.
Uume umeundwa na tishu, mishipa ya damu na misuli. Tishu hizi zipo za aina mbili ambazo ni- corpus spongiosum na
- corpora cavernosa.
Tishu za corpora cavernosa ndio hasa huusika na uume kusimama.
Ndani ya tishu hizi kuna misuli na mishipa ya damu ya ateri ambayo huingiza damu katika uume na misipa ya damu ya vena ambayo hutoa damu kutoka katika uume.
Kuingia na kutoka kwa damu katika uume kunategemea zaidi na kusinyaa na kutanuka kwa misuli iliyopo katika uume. Vilevile kutanuka na kusinyaa kwa mishipa ya damu iliyopo katika uume.
Kusinyaa kwa misuli iliyo katika uume kunasababisha mishipa yad amu katika uume pia kusinyaa, kitendo hiki cha mishipa ya damu kusinyaa kunaruhusu damu nyingi kufika katika uume.
Damu inavyofika kwa wingi katika uume husababisha uume kusimama. Kadri damu inavyozidi kusalia kwa wingi katika uume ndivyo ambavyo uume unavyoendelea kusimama na kuwa mgumu.
Kitendo cha uume kusimama kinaweza kutokea katika namna na mazingira yafuatayo.
Kuingia na kutoka kwa damu katika uume kunategemea zaidi na kusinyaa na kutanuka kwa misuli iliyopo katika uume. Vilevile kutanuka na kusinyaa kwa mishipa ya damu iliyopo katika uume.
Namna gani uume husimama?
Kusimama kwa uume ni kitendo tata ambacho hutegemea zaidi kutanuka na kusinyaa kwa misuli na mishipa ya damu katika uume. Kitendo hiki cha uume kusimama huthibitiwa na mfumo wa fahamu.Kusinyaa kwa misuli iliyo katika uume kunasababisha mishipa yad amu katika uume pia kusinyaa, kitendo hiki cha mishipa ya damu kusinyaa kunaruhusu damu nyingi kufika katika uume.
Damu inavyofika kwa wingi katika uume husababisha uume kusimama. Kadri damu inavyozidi kusalia kwa wingi katika uume ndivyo ambavyo uume unavyoendelea kusimama na kuwa mgumu.
Kitendo cha uume kusimama kinaweza kutokea katika namna na mazingira yafuatayo.
01: Uume kusimama kutokana na ashki (nyege).
Katika aina hii ya uume kusimama visababishi vinaweza kuwa kuona utupu wa mwanamke, kugusa, kusikia sauti za kimahaba, kuhisi harufu, na kuvuta hisia.Aina hii ya uume kusimama huthibitiwa zaidi na ubongo.
Ambapo viamshi kadhaa huusika kusababisha damu kufika katika uume. Moja ya kiamshi muhimu katika aina hii ya uume kusimama ni Dopamine.
Inaaminika kwamba aina hii ya uume kusimama ni sehemu ya utendaji kazi wa mwili.
Ambapo viamshi kadhaa huusika kusababisha damu kufika katika uume. Moja ya kiamshi muhimu katika aina hii ya uume kusimama ni Dopamine.
02: Uume kusimama nyakati za usiku.
Aina hii ya uume kusimama hutokea wakati wa usiku kwa kila mwanaume aliye kamili. Kwa wastani kila mwanaume husimamisha uume wakati akiwa kwenye usingizi mzito kati ya mara 4 hadi 6.Inaaminika kwamba aina hii ya uume kusimama ni sehemu ya utendaji kazi wa mwili.
Lengo kuu ni kuhakikisha damu ya kutosha inafika katika uume wakati wa usiku ili kuhakikisha upatikanaji wa chakula na oksijeni katika seli za uume.
Aina hii ya uume kusimama ni moja ya kipimo cha kugundua iwapo mtoto wako wa kiume yuko sawa.
Aina hii ya uume kusimama ni moja ya kipimo cha kugundua iwapo mtoto wako wa kiume yuko sawa.
03: Uume kusimama kutokana na kuchezea nyeti.
Uume pia unaweza kusimama kutokana na kuuchezea. Kuchezea uume kunasababisha kuamshwa kwa mfumo wa fahamu wa parasympathetic. Kuamka kwa mfumo huu kunasababisha uume kusimama pia.Ni mambo ambayo hudhibiti kusimama kwa uume?
Mpaka sasa sayansi inatambua mambo makuu matatu ambayo huthibiti kusimama na kusinyaa kwa uume.Mambo hayo ni kama yafuatayo;
Mfumo wa fahamu na neva na nguvu za kiume.
Neva kutoka katika sehemu ya chini ya ugwemgongo, zinapita katika puru na kufika eneo linaitwa Pelvic plexus.Eneo hili la Pelvic plexus linapatikana katikati ya puru na uume chini ya kibofu lakini nyuma ya tezi dume.
Neva za carvenosa hutoka hapa katika Pelvic plexus na kuingia katika uume kupitia tezi dume.
Neva za carvenosa hutoka hapa katika Pelvic plexus na kuingia katika uume kupitia tezi dume.
Neva hizi zimetawala maeneo haya ya uume na hupeleka taarifa katika ubongo ikiwa mwanaume atakutana na kiamshi chochote ambacho kitalazimisha uume kusimama.
Eneo hili la Pelvic plexus ni muhimu sana kwa vile ni rahisi kupata ajali na kuharibiwa, vilevile upasuaji wa tezi dume unaweza kuleta madhara katika eneo hili.
Kuharibika kwa eneo hili kunazuia usafirishwaji wa taarifa katika ubongo. Jambo ambalo hupelekea uume kushindwa kusimama hata kama mwanaume amekutana na kiamshi cha ashki.

Mfumo wa mzunguko wa damu na mishipa ya damu ndani ya uume.
Ndani ya uume hasa katika tishu za corpora cavernosa kuna mtandao mkubwa wa mishipa ya damu ambayo hutanuka na kusinyaa.Mishipa hii ya damu hudhibiti kusimama na kusinyaa kwa uume kwa kutanuka na kusinyaa.
Mfumo wa neva huzalisha viamshi vya aina nyingi ambavyo husababisha misuli katika uume kusinyaa. Kusinyaa kwa misuli ya uume kunasababisha mishipa ya damu ya ateri pia kutanuka na kuruhusu damu kujaa.
Kuharibika au kushindwa kusinyaa kwa mishipa hii kunasababisha damu kutofika katika uume na uume kushindwa kusimama.

Viamshi vya mfumo wa fahamu.
Viamshi mbalimbali vya mfumo wa fahamu kama vile acetylcholine na Nitric oxide, ambapo kiamshi cha Nitric oxide ndio hasa muhimu katika kusaidia uume kusimama.Kiamshi hiki cha Nitric oxide huzalishwa seli za neuron na pia katika kuta za seli za uume.
Kiamshi au kemikali hii ya Nitric oxide husaidia kusinyaa kwa misuli iliyopo kwenye uume. Kwa kudhibiti kemikali ya phosphodiesterase type 5 (PDE5).
Kiamshi au kemikali hii ya Nitric oxide husaidia kusinyaa kwa misuli iliyopo kwenye uume. Kwa kudhibiti kemikali ya phosphodiesterase type 5 (PDE5).
Kemikali hii uwepo wako husababisha uume kushindwa kusimama.
Hitimisho
Makala hii imeelezea kwa kina kuhusu sayansi ya nguvu za kiume, ni kwa namna gani uume husimama na mambo mbalimbali yanayosababisha kufanikisha kwa jambo hili.
Elimu hii ni muhimu katika kuchagua njia sahihi ya kuimarisha mfumo wa uzazi na kukusaidia kuchagua tiba sahihi ya tatizo la nguvu za kiume.
Ikiwa unasumbuliwa na tatizo la upungufu wa nguvu za kiume jua kwamba dawa yoyote utakayochagua ya kutibu tatizo la nguvu za kiume itafanya kazi katika misingi mikuu 3 ambayo ni;
- kuimarisha mfumo wa fahamu
- kurekebisha mfumo wa mzunguko wa damu ama
- kusaidia kutengenezwa au kuthibiti baadhi ya viamshi.
Dawa au njia yoyote ambayo haitagusa maeneo haya 3 ni batili na haina lengo la kukusaidia. Muhimu zaidi ni kufahamu sababu ya tatizo lako la upungufu wa nguvu za kiume ili ujue unahitaji dawa inayofanya kazi katika misingi ipi.