Mimba

Tiba ya kichefuchefu, kutapika na kiungulia kwa mjamzito

Kichefuchefu, kutapika , kupata haja kubwa ngumu na kiungulia wakati wa ujauzito ni matatizo ya kawaida ambayo hujitokeza kwa wanawake wengi...

Pharm Mshani 15 Okt, 2022

Vipimo muhimu kwa mama mjamzito

Unapopata mimba kuna mabadiliko mengi ya lazima ambayo hutokea katika mwili wako. Kuongezeka uzito, kuongezeka sukari ya mwili, mabadiliko k...

Pharm Mshani 12 Okt, 2022

Sababu za kichefuchefu na kutapika kwa mjamzito na tiba yake

Kichefuchefu na kutapika ni miongoni mwa hali za kawaida sana kwa mjamzito hasa miezi miezi 3 ya mwanzo ya ujauzito.  Hali hii inatokana na ...

Pharm Mshani 27 Sep, 2022

Dalili za mimba changa ya wiki moja hadi miezi mitatu

Dalili za mimba ni matokeo ya mabadiliko makubwa ya kiumbo na kibaolojia yanayotokea kwa mama mjamzito ambayo husababishwa na kutengenezwa k...

Pharm Mshani 16 Sep, 2022