Faida za mwarobaini katika kutibu na kupambana na magonjwa
Faida za mwarobaini katika kutibu na kupambana na magonjwa mbalimbali zinathibitishwa na tafiti mbalimbali duniani. Umaarufu wa mmea huu ni...
Faida za mwarobaini katika kutibu na kupambana na magonjwa mbalimbali zinathibitishwa na tafiti mbalimbali duniani. Umaarufu wa mmea huu ni...
Baada ya kutazama dawa za kisasa za kutibu fangasi za ukeni , katika makala hii tutaangazia dawa za asili/kienyeji za kutibu tatizo la fanga...
Bila shaka mahindi ni chakula kinachotumiwa zaidi barani Afrika kuliko chakula kingine chochote. Matumizi ya mahindi kama chakula kikuu Afri...
Karafuu ni moja ya mimea ambayo hutumiwa zaidi kama kiungo cha chakula vilevile hutumiwa kama dawa ya kuhifadhia vyakula vingine visiharibik...
Wimbi la matumizi ya mitishamba linazidi kushamiri duniani kote kila kukicha. Moja ya sababu ni tatizo la usugu wa bakteria dhidi ya dawa za...
Faida za Saw palmetto (Serenoa repens ) mwilini ni za kipekee kutokana na aina ya matatizo ambayo mmea huu unaweza kuyatibu. Moja ya matatiz...
Kitunguu saumu kitaalamu hutambuliwa kama Allium sativum , ni moja kati ya mimea maarufu na ya muda mrefu kutumiwa na binadamu. Vitabu mbal...
Bawasiri ni nini? Bawasiri , pia huitwa kikundu, ni tatizo la uvimbe sehemu ya nje au ya ndani ya haja kubwa linalotokea baada damu kutuama ...
Bila shaka radha nzuri na utamu wa tunda la embe ndio vitu pekee vinakuvutia kuhusu mmea huu adhimu. Lakini umeshawahi kujiuliza kuwa mmea w...
Aloe vera ama kwa lugha ya kiswahili Mshubiri ni moja ya mimea inayotambulika zaidi duniani kutokana na uwezo wake wa kukabiliana na magonjw...