Afya ya Uzazi

Vipimo muhimu kwa mama mjamzito

Unapopata mimba kuna mabadiliko mengi ya lazima ambayo hutokea katika mwili wako. Kuongezeka uzito, kuongezeka sukari ya mwili, mabadiliko k...

Pharm Mshani 12 Okt, 2022

Umuhimu wa kuanza mapema kliniki ya wajawazito

Baada ya mwanamke kupata ujauzito, kuna maswali mengi huwa yanaibuka kuliko majibu hasa ikiwa ni ujauzito wa kwanza. Mwanamke huwa na fura...

Pharm Mshani 10 Okt, 2022

Sababu za matatizo ya mzunguko wa hedhi.

Matatizo ya mzunguko wa hedhi ni ya kawaida kwa wanawake na husababishwa na mambo mbalimbali ambayo ni ya kawaida kabisa katika jamii. Sabab...

Pharm Mshani 9 Okt, 2022

Matatizo 6 ya kaida ya mzunguko wa hedhi na sababu zake

Mzunguko wa hedhi ni tukio la kibaolojia ambalo hutokea kwa mwanamke yeyeto aliyekamili kiafya. Kwa wastani mwanamke huanza kupata hedhi aki...

Pharm Mshani 8 Okt, 2022

Dalili za upungufu wa mbegu za kiume, sababu, madhara yake na tiba

Kuwa na familia ni ndoto ya kila mwanaume, yawezekana hiki ndio kipimo muhimu na kikubwa cha uanaume. Pengine umejisikia vibaya baaada ya ku...

Pharm Mshani 29 Sep, 2022

Sababu za kichefuchefu na kutapika kwa mjamzito na tiba yake

Kichefuchefu na kutapika ni miongoni mwa hali za kawaida sana kwa mjamzito hasa miezi miezi 3 ya mwanzo ya ujauzito.  Hali hii inatokana na ...

Pharm Mshani 27 Sep, 2022

Upungufu wa nguvu za kiume na jinsi ya kuchagua njia sahihi ya kutibu

Upungufu wa nguvu za kiume ni tatizo kubwa kwa sasa, zaidi ya 60% ya wanaume duniani husumbuliwa na tatizo hili.  Kutokana na tatizo hili wa...

Pharm Mshani 23 Sep, 2022

Sababu kuu 17 za tatizo la nguvu za kiume

Hali ya uume kusimama ni kitendo tata ambacho kinahusisha hatua na matukio mengi. Kitendo hiki huanza kwa uwepo wa kiamshi cha ashki na kuhu...

Pharm Mshani 22 Sep, 2022

Dalili za mimba changa ya wiki moja hadi miezi mitatu

Dalili za mimba ni matokeo ya mabadiliko makubwa ya kiumbo na kibaolojia yanayotokea kwa mama mjamzito ambayo husababishwa na kutengenezwa k...

Pharm Mshani 16 Sep, 2022

Jinsi ya kuzuia na kutibu upungufu wa nguvu za kiume kwa haraka

Tatizo la upungufu wa nguvu za kiume linaweza kupunguzwa au kutibiwa kwa namna tofauti. Tiba yake yaweza kuwa ya kutumia vidonge vya kumeza,...

Pharm Mshani 15 Sep, 2022

Sababu kuu 9 za Kutokwa damu nyingi wakati wa hedhi na tiba yake

Kutokwa damu nyingi wakati wa hedhi ni moja ya tatizo la hedhi linalowasumbua wanawake wengi. Wanawake walio wengi huwa katika wakati mgumu ...

Pharm Mshani 7 Sep, 2022