Latest Posts

Latest Posts

Faida za mahindi katika kutibu macho na figo.

Bila shaka mahindi ni chakula kinachotumiwa zaidi barani Afrika kuliko chakula kingine chochote. Matumizi ya mahindi kama chakula kikuu Afri...

Pharm Mshani 30 Sep, 2022

Dalili za upungufu wa mbegu za kiume, sababu, madhara yake na tiba

Kuwa na familia ni ndoto ya kila mwanaume, yawezekana hiki ndio kipimo muhimu na kikubwa cha uanaume. Pengine umejisikia vibaya baaada ya ku...

Pharm Mshani 29 Sep, 2022

Dawa za kisasa za kutibu fangasi sugu za ukeni

Tafiti za kisayansi zinaonyesha kwamba zaidi ya 75% ya wanawake hupatwa na tatizo la fangasi za ukeni walau mara moja katika maisha yao. Kun...

Pharm Mshani 28 Sep, 2022

Sababu za kichefuchefu na kutapika kwa mjamzito na tiba yake

Kichefuchefu na kutapika ni miongoni mwa hali za kawaida sana kwa mjamzito hasa miezi miezi 3 ya mwanzo ya ujauzito.  Hali hii inatokana na ...

Pharm Mshani 27 Sep, 2022

Faida za vitamini E mwilini, madhara na vyakula vyenye vitamini E

Kama vitamini A, B, C, D, E na K ni wanafunzi katika darasa, basi Vitamini E ndio mwanafunzi ambaye siku zote ataondoka na alama A+ katika m...

Pharm Mshani 26 Sep, 2022

Njia za kuondoa seli za ngozi zilizokufa na faida zake katika urembo wa ngozi

Kumenya ngozi ambayo ina kiwango kikubwa cha seli zilizokufa ni moja ya mbinu bora zaidi za kuimarisha afya ya ngozi na muonekano wake. Kisa...

Pharm Mshani 25 Sep, 2022

Aina za chunusi, chanzo, sababu na tiba

Chunusi ni uvimbe unaotokea katika ngozi, uvimbe ambao unatokana na kutengenezwa kwa mafuta mengi kupita kiasi katika ngozi. Tatizo la chunu...

Pharm Mshani 24 Sep, 2022

Upungufu wa nguvu za kiume na jinsi ya kuchagua njia sahihi ya kutibu

Upungufu wa nguvu za kiume ni tatizo kubwa kwa sasa, zaidi ya 60% ya wanaume duniani husumbuliwa na tatizo hili.  Kutokana na tatizo hili wa...

Pharm Mshani 23 Sep, 2022

Sababu kuu 17 za tatizo la nguvu za kiume

Hali ya uume kusimama ni kitendo tata ambacho kinahusisha hatua na matukio mengi. Kitendo hiki huanza kwa uwepo wa kiamshi cha ashki na kuhu...

Pharm Mshani 22 Sep, 2022

Tatizo la kuharisha, chanzo, dalili na tiba.

Tatizo la kuharisha ni moja ya matatizo ya kawaida sana katika jamii, na huwaathiri zaidi watu kutoka nchi zenye uchumi mdogo. Tatizo hili n...

Pharm Mshani 21 Sep, 2022

Madhara ya kiungulia, sababu na tiba asili

Kiungulia ni tatizo katika mfumo wa mmeng'enyo wa chakula ambalo husababishwa na kucheuliwa kwa mchanganyiko wa tindikali na chakula kut...

Pharm Mshani 20 Sep, 2022