Latest Posts

Latest Posts

Faida za kitunguu saumu mwilini na jinsi ya kutumia

Kitunguu saumu kitaalamu hutambuliwa kama Allium sativum , ni moja kati ya mimea maarufu na ya muda mrefu kutumiwa na binadamu.  Vitabu mbal...

Pharm Mshani 31 Ago, 2022

Siku za kupata mimba, njia za kutambua na dalili zake

Kuongezeka kwa changamoto ya mimba zisizotarajiwa kunasababishwa na mambo mengi lakini kubwa ni elimu duni ya afya ya uzazi hasa elimu ya mz...

Pharm Mshani 30 Ago, 2022

Faida za Uzazi wa mpango na changamoto zake

Uzazi wa mpango ni hali ya kuzuia mimba kutunga kwa kuathiri mchakato wa kibaolojia unaopelekea mimba kutunga kwa kutumia njia za kisasa au ...

Pharm Mshani 30 Ago, 2022

Faida za parachichi mwilini na jinsi ya kutumia

Parachichi ni tunda lenye hadhi na faida lukuki katika mwili wa binadamu. Moja ya faida za parachichi ni uwezo wake wa kusaidia kukuza na ku...

Pharm Mshani 29 Ago, 2022

Vyakula vyenye vitamini B kwa wingi na faida zake mwilini

Vitamini B changamano ni kundi la virutubisho ambalo hujumuisha aina nane ya kundi la vitamini B mumunyifu. Aina hizo ni pamoja na; Thiamin...

Pharm Mshani 29 Ago, 2022

Dalili za Upungufu wa vitamin B changamano mwilini

Si rahisi kupata tatizo la upungufu wa vitamini B changamano kwa sababu Vitamini B changamano hupatikana katika vyakula vingi vya kawaida am...

Pharm Mshani 28 Ago, 2022

Fahamu Sababu kuu 8 za Bawasiri na tiba yake

Bawasiri ni nini? Bawasiri , pia huitwa kikundu, ni tatizo la uvimbe sehemu ya nje au ya ndani ya haja kubwa linalotokea baada damu kutuama ...

Pharm Mshani 28 Ago, 2022

Vyakula vyenye Vitamini A na faida zake mwilini.

Vitamini A ni miongoni mwa virutubisho muhimu zaidi ambavyo miili yetu huhitaji ili kukamilisha kazi mbalimbali za mwili. Uhitaji wa vitamin...

Pharm Mshani 27 Ago, 2022

Dalili kuu 5 za upungufu wa vitamin A mwilini na tiba.

Vitamini A ni virutubisho muhimu katika ukuaji wa seli, kuimarisha kinga ya mwili, Kuimarisha afya ya macho na kusaidia mfumo wa uzazi. Upun...

Pharm Mshani 27 Ago, 2022

Tatizo la miguu kuwaka moto, Chanzo, Dalili na Tiba

Miguu kuwaka moto ni tatizo ambalo linaweza kutokea kutokana na sababu mbalimbali za kiafya, lakini kubwa ni kudhoofika au kuharibika kwa se...

Pharm Mshani 26 Ago, 2022

Dalili za bawasiri, aina zake na tiba.

Bawasili (kikundu) ni uvimbe unaotokea katika sehemu ya mfumo wa haja kubwa, uvimbe huu unatokana na kutuna kwa mishipa ya damu na huweza ku...

Pharm Mshani 26 Ago, 2022

Fangasi za ukeni, chanzo, dalili na tiba

Fangasi za ukeni ni aina ya fangasi ambayo hushambulia maeneo ya uke na husababishwa na kundi la vimelea vya fangasi lijulikanalo kama Candi...

Pharm Mshani 25 Ago, 2022

Fahamu sababu kuu za tatizo la UTI

Mfumo wa mkojo ni moja ya mifumo inayoshambuliwa sana na vimelea vya magonjwa. Bakteria, virusi na fangasi vyote hivi huweza kuushambulia mf...

Pharm Mshani 25 Ago, 2022