Magonjwa na Tiba

Kipanda uso husababishwa na nini? aina zake, madhara na tiba

Kipanda usoni aina ya maumivu ya kichwa ambayo hutokea upande mmoja wa kichwa. Maumivu haya ni makali na huwa ni ya kujirudia.  Kipanda uson...

Pharm Mshani 7 Okt, 2022

Dawa za asili za kutibu fangasi za ukeni

Baada ya kutazama dawa za kisasa za kutibu fangasi za ukeni , katika makala hii tutaangazia dawa za asili/kienyeji za kutibu tatizo la fanga...

Pharm Mshani 5 Okt, 2022

UKIMWI ni nini? ifahamu historia ya UKIMWI Tanzania?

UKIMWI ni kifupi cha neno Upungufu wa Kinga MWIlini. Ni ugonjwa wa zinaa unaosababishwa na virusi aina ya HIV. Ni miongoni mwa majanga ya ul...

Pharm Mshani 4 Okt, 2022

Dawa za asili za kutibu chunusi sugu

Kudhibiti kiwango cha mafuta kinachozalishwa katika ngozi, kuua bakteria wa P.acne na kudhibiti uondolewaji wa seli za ngozi zilizokufa ndi...

Pharm Mshani 2 Okt, 2022

Dawa za kisasa za kutibu chunusi sugu

Ili kuleta ufanisi katika kutibu na kupambana na tatizo la chunusi , matibabu ya tatizo hili yanapaswa kulenga shabaha kuu 4 ambazo ni; Kudh...

Pharm Mshani 2 Okt, 2022

Dalili za UKIMWI, Tiba na aina ya vipimo vya UKIMWI

UKIMWI, U pungufu wa K inga MWI lini, ni ugonjwa wa zinaa unaosababishwa na virusi aina ya HIV . Ni miongoni mwa magonjwa makubwa ya kihist...

Pharm Mshani 1 Okt, 2022

Dawa za kisasa za kutibu fangasi sugu za ukeni

Tafiti za kisayansi zinaonyesha kwamba zaidi ya 75% ya wanawake hupatwa na tatizo la fangasi za ukeni walau mara moja katika maisha yao. Kun...

Pharm Mshani 28 Sep, 2022

Aina za chunusi, chanzo, sababu na tiba

Chunusi ni uvimbe unaotokea katika ngozi, uvimbe ambao unatokana na kutengenezwa kwa mafuta mengi kupita kiasi katika ngozi. Tatizo la chunu...

Pharm Mshani 24 Sep, 2022

Sababu kuu 17 za tatizo la nguvu za kiume

Hali ya uume kusimama ni kitendo tata ambacho kinahusisha hatua na matukio mengi. Kitendo hiki huanza kwa uwepo wa kiamshi cha ashki na kuhu...

Pharm Mshani 22 Sep, 2022

Tatizo la kuharisha, chanzo, dalili na tiba.

Tatizo la kuharisha ni moja ya matatizo ya kawaida sana katika jamii, na huwaathiri zaidi watu kutoka nchi zenye uchumi mdogo. Tatizo hili n...

Pharm Mshani 21 Sep, 2022

Madhara ya kiungulia, sababu na tiba asili

Kiungulia ni tatizo katika mfumo wa mmeng'enyo wa chakula ambalo husababishwa na kucheuliwa kwa mchanganyiko wa tindikali na chakula kut...

Pharm Mshani 20 Sep, 2022

Ugonjwa wa PID ni nini? Je, ni nani yuko hatarini kupata PID kiurahisi?

Je, unapenda siku moja kuitwa mama? Bila shaka hii ni doto ya kila mwanamke. Lakini unafahamu ya kwamba kuna adui ambaye anaweza kuharibu nd...

Pharm Mshani 14 Sep, 2022

Dalili za ugonjwa wa PID, chanzo na Tiba

PID (Pelvic inflammatory Disease) ni maambukizi katika mfumo wa uzazi wa mwanamke ambayo hushambulia sehemu mbalimbali za mfumo wa uzazi iki...

Pharm Mshani 12 Sep, 2022

Chanzo cha kupata tezi dume na madhara yake

Uzee ni dawa, huu ni msemo unaoupa uzee heshima na matamanio ya karibu kila kijana kufikia katika hatua hii.  Licha ya heshima ya hii, uzee ...

Pharm Mshani 10 Sep, 2022